Ilibandikwa: June 9th, 2021
Katibu Tawala wa mkoa wa Rukwa Denis Bandisa amesema amekuja mkoani Rukwa kwaajili ya kushirikiana na watumishi wengine wa serikali ili kuhakikisha maendeleo yanapatikana kutokana uongozi wa Mkuu wa m...
Ilibandikwa: November 23rd, 2020
Zaidi ya wanafunzi 3700 wa Shule za Sekondari katika Manispaa ya Sumbawanga wameaanza mitihani ya kuhitimu Kidato cha Nne kwa mwaka 2020.
Afisa Elimu Sekondari wa Manispaa ya Sumbawanga Silvester M...
Ilibandikwa: March 3rd, 2020
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Mh.Aeshi Hilaly ameshauri Manispaa hiyo kuanza kujenga majengo mapya kwa zile shule kongwe ili yaweze kuendana na wakati.
Akizungumza mara baada ya mkutano wa Wa...