Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji inashughulikia upangaji na uratibu wa mipango ya maendeleo katika miaka husika, usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ya Halmashauri, Tafiti na ukusanyaji wa Takwimu pamoja na kuratibu shughuli za Uwekezaji.
Idara hii inaongozwa na Mchumi wa Manispaa na imegawanyika katika sehemu nne kama ifuatavyo:-
Sehemu ya Mipango na Sera.
Majukumu ya sehemu hii ni kama ifuatavyo:-
Sehemu ya Usimamizi, Ufuatiliaji na Tathmini ya miradi ya
maendeleo.
Majukumu ya sehemu hii yapo kama ifuatavyo:-
Sehemu ya Uwekezaji.
Sehemu hii hushughulikia mipango ya uwekezaji katika Halmashauri ya Manispaa kwa kufanya yafuatayo,
1. Kuratibu na kusimamia maandalizi ya mipango ya uwekezaji ya Halmashauri.
2. Kuratibu utekelezaji na uandaaji wa taarifa za mipango ya uwekezaji
3. Kuratibu utekelezaji wa miradi ya DMDP
Sehemu ya Utafiti na Takwimu.
Sehemu hii hushughulikia masuala yanayohusu takwimu mbalimbali za kiuchumi na kijamii pamoja na kuratibu shughuli za utafiti kama ifuatavyo.
Sumbawanga Municipal Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga
Simu ya Mezani: +255252802163
Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255
Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz
HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa