Ilibandikwa: July 23rd, 2018
Umoja wa madereva wa bodaboda katika manispaa ya Sumbawang, mkoani Rukwa wamehamasika kujitolea damu ili kukabiliana na upungufu wa upatikanaji wa damu katika vituo vya afya pamoja na hospitali ...
Ilibandikwa: July 5th, 2018
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla ameiagiza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania TFS kuchangia shilingi milioni 20 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya kijiji cha Mponda ka...
Ilibandikwa: June 15th, 2018
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Thadeo Maganga amewataka wamiliki wa maghala yaliyopo katikati ya mji, wenye vibali na wasio na vibali, kusimamisha shughuli zao hadi kufikia mwezi wa kumi m...