Ilibandikwa: May 15th, 2017
Madiwani mkoani Rukwa wametakiwa kutumia nafasi zao kisiasa kwa kuwaadhibu Watendaji wa halmashauri zao ambao wamekuwa wakishiriki katika vitendo vya kuhujumu mapato ya halmashauri hizo.
Ushauri hu...
Ilibandikwa: May 12th, 2017
Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga imewatahadharisha wakazi wa Manispaa hiyo kutotumia simu za kisasa kwaajili ya vipimo vya Afya zao.
Tahadhari hiyo imetolewa kufuatia k...
Ilibandikwa: May 12th, 2017
Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga imeanzisha utaratibu mpya wa kuazimisha sherehe za maonyesho Wakulima za Nane Nane katika sehemu mbili tofauti.
Sherehe hizo zitafanyika kiwilay...