Ilibandikwa: February 23rd, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amekataa maombi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanya ukandarasi wa majengo mbalimbali ya serikali mkoani Rukwa kutokana na kusimama kwa mradi wanaousim...
Ilibandikwa: February 23rd, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka wakulima wote mkoani Rukwa kuhakikisha wanayasafisha mahindi yao kabla ya kuyauza ili kupata soko la uhakika na pia kujiepusha na magonjwa mbalimbal...
Ilibandikwa: February 22nd, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameitahadharisha bodi ya shule ya Sekondari Kantalamba kuhakikisha wanaweka mikakati ya kuondoa daraja la sifuri katika shule hiyo kongwe nchini iliyoanzishwa...