• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Masuala ya Lishe
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Uratibu na Mipango
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

Historia

JIOGRAFIA YA MANISPAA YA SUMBAWANGA 

Manispaa ya Sumbawanga ni  Makao Makuu ya Wilaya na Mkoa wa Rukwa  ukiwa Kusini Magharibi mwa Tanzania kwenye Latitudo 07045’ na 080 09’ Kusini na Longitudo 310 27’ na 310 49’ Mashariki. Halmashauri hii imezungukwa na Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, Kalambo  na Nkasi.

UKUBWA WA ENEO NA HALI YA KIJIOGRAFIA

Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga ina ukubwa eneo lenye kilometa za mraba 1329.

HALI YA HEWA

Manispaa ya Sumbawanga ina hali ya hewa ya baridi na joto kiasi kwa kipindi kirefu cha mwaka, ikiwa na joto la 270C mwezi Septemba hadi Januari. Hali ya baridi na ukame huanzia mwezi Mei hadi Novemba. Mwezi Julai ni mwezi wa baridi sana ambayo hufikia 50C.  Kipindi cha mvua huanza mwezi Novemba hadi Aprili. Wastani wa mvua ni mm 646.8 kwa  mwaka mara nyingi huandamana na miungurumo na radi.

IDADI YA WATU KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA

Matokeo ya Sensa ya mwaka, 2012 yanaonesha kuwa idadi ya watu kwa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga ni 209,793 kati yao wanaume ni 100,734 na wanawake ni 109,059 na kwamba jumla ya watu 62,951 sawa na asilimia 43 wameongezeka kutoka watu 146,842 (Me 71,176 na Ke 75,666) mwaka 2002.Kutokana na wastani wa ongezeko la idadi ya watu la 3.5% mwaka 2016 tunakadilia kuwa na Watu 241,513 kati ya hao Wanaume 115,964 na Wanawake 125,548.

MUUNDO WA KIUTAWALA 

Manispaa ya Sumbawanga imegawanywa katika Tarafa mbili za Lwiche na Itwelele, Kata 19, Vijiji 24, Mitaa 167 na Vitongoji 173. Halmashauri ina jimbo moja la uchaguzi ambalo ni Sumbawanga Mjini.

Matangazo

  • Matokeo ya kidato cha NNE 2022 yatangazwa... January 29, 2023
  • Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 December 18, 2020
  • Walichaguliwa Kidato cha Kwanza 2021 -PDF December 18, 2020
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU YA AWALI NA MSINGI TANZANIA BARA,JANUARY 2022. February 15, 2022
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • ZAIDI YA WANAFUNZI ELFU 50 KUPATIWA DAWA ZA MINYOO SUMBAWANGA

    November 24, 2022
  • VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA KIFEDHA MANISPAA YA SUMBAWANGA VYAPEWA ELIMU

    November 23, 2022
  • OFISI YA KAMISHNA WA ARDHI RUKWA YAWAFUATA WANANCHI MITAANI KUTATUA CHANGAMOTO ZAO

    October 27, 2022
  • MANISPAA YA SUMBAWANGA YAZINDUA MUUNGOZO WA ELIMU

    September 26, 2022
  • Angalia zote

Video

MANISPAA YA SUMBAWANGA KUTAFUTA MZABUNI WA KUZOA TAKA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa