Ilibandikwa: September 6th, 2017
Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Hamid Njovu amewataka wakuu wa idara kutochoka kutoa miongozo kwa watumishi wapya wanaoajiriwa serikalini ili waendane na taratibu za kimaadili ya kazi wanapokuwa ...
Ilibandikwa: August 4th, 2017
Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga imepokea msaada wa kompyuta moja kutoka kwa Shirika la PACT kwaajili ya kusaidia shughuli za mawasiliano na kuhifadhi data kwa moja ya Idara za Manispaa hiyo.
...
Ilibandikwa: August 4th, 2017
Serikali na Wafanyabishara hapa nchini wameshauriwa kuanza kutumia taka zinazozalishwa na binadamu na mimea ili kuweza kuzichakata na kupata nishati ya umeme wa kutosha badala ya kutegemea umeme unaot...