Ilibandikwa: February 23rd, 2023
Shirika la Tanesco Mkoani Rukwa linatarajia kuanza zoezi la kuchukua taarifa za kijiografia za Miundombinu ya Shirika, Rasimali na Wateja wao mapema baada ya zoezi hili kukamilika Mkoani Songwe.
...
Ilibandikwa: February 20th, 2023
“Bila taarifa hakuna kazi uliyoifanya hivyo wataalam wa Afya mnao kwenda kushiriki zoezi hili la chanjo hakikisheni mnaweka taarifa sahihi ili tuweze kuwa na takwimu za walengw...
Ilibandikwa: February 14th, 2023
Halmashauri ya Manaispaa ya Sumbawanga imetoa mikopo yenye thamani ya Tsh Milioni 136,982,449 kwa vikundi vya kina mama, vijana na Watu wenye ulemavu katika kipindi cha Julai – Desemba 2022.
...