Ilibandikwa: April 11th, 2022
Anaandika Sammy Kisika.
Halmasahauri ya Manispaa ya Sumbawanga imepeleka maombi maalumu serikali ya kuomba kuajiri watumishi wa idara ya afya zaidi ya 200, ili kuweza kutoa huduma kwenye zahanati, ...
Ilibandikwa: April 6th, 2022
Zaidi ya Shilingi Milioni 800 zimetumika kwaajili ya uboreshaji wa miundombinu na ulipaji wa madeni mbalimbali ya Walimu katika Idara ya Elimu Msingi kwa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa.
...
Ilibandikwa: February 12th, 2022
Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Jacob Mtalitinya amewaagiza Watumishi wa sekta ya Afya ya halmashauri hiyo kuhakikisha wanasimamia miradi ya ujenzi wa iliyopo chini yao ili iweze kukamilika kwa u...