Ilibandikwa: November 28th, 2017
Waziri wa Kilimo Mh. Charles Tizeba ameiagiza Taasisi ya Uthibitishaji Rasmi wa Mbegu Tanzania (TOSCI) kufanya ukaguzi wa duka kwa duka kwenye maduka ya wafanyabiashara wa pembejeo ili kuwabaini wanao...
Ilibandikwa: November 27th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameitaka Manispaa ya Sumbawanga kuhakikisha wanaboresha mazingira ya masoko yaliyopo kwenye Manispaa hiyo ili wananchi waweze kupata huduma kwenye maeneo hayo...
Ilibandikwa: October 19th, 2017
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameagiza eneo lililokuwa shamba la mifugo la Malonje wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa lenye ukubwa wa ekari 12,750, lirejeshwe serika...