Ilibandikwa: May 3rd, 2017
Uongozi wa halmashauri za mkoa wa Rukwa umetakiwa kutumia Waandishi wa habari wa mkoa huo kwaajili ya kuhamasisha ukusanyaji wa mapato kwa halmashauri zao.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa mkoa ...
Ilibandikwa: May 1st, 2017
Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga walitia fora katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mjini Namanyere wilayani Nkasi.
Sherehe hizo kimkoa zilifanyika wilayani ...
Ilibandikwa: April 11th, 2017
Mwenge wa Uhuru umezindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi 13 yenye thamani zaidi ya bilioni 8 katika Manispaa ya Sumbawanga.
Hayo yalisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Khalfan Haule ...