Ilibandikwa: April 16th, 2018
Manispaa ya Sumbawanga kupitia mradi wa uboreshsaji miji imetenga kiasi cha shilingi 7,368,573,061 kwaajili ya ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa kilomita 4.6 itakayounganisha kata ...
Ilibandikwa: April 10th, 2018
Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Hamid Njovu amesema kukamilika kwa maabara ya fizikia katika shule ya sekondari Muhama kutawaandaa wananfunzi wa shule hiyo kutekeleza sera ya viwanda na kuweza ku...
Ilibandikwa: April 4th, 2018
Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga imeanzisha ujenzi wa shule mpya ya msingi katika kata ya Matanga, Wilayani Sumbawanga ili kukabiliana na wingi wa wananfunzi walioandikishwa katika shule ya msing...