Ilibandikwa: April 11th, 2017
Mwenge wa Uhuru umezindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi 13 yenye thamani zaidi ya bilioni 8 katika Manispaa ya Sumbawanga.
Hayo yalisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Khalfan Haule ...
Ilibandikwa: March 21st, 2017
Wakulima mkoani Rukwa wameshauriwa kuanza kulima zao la kahawa kama zao mbadala la biashara na kuacha kutegemea zao la mahindi pekee.
Asasi isiyo ya kiserikali ya Rukwa Environment Youth Organisati...