• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi & Mipango Miji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mazingira na Taka Ngumu
      • Mipango na Uchumi
      • Utawala & Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Legal Service Unit
      • Info,Comm & Techno Unity
      • Procurement Management Unity
  • Fursa za uwekezaji
    • Natural Resource and Environmental Consarvertion
  • Huduma
    • Afya
    • Education
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

RAS MPYA

Ilibandikwa: June 9th, 2021

Katibu Tawala wa mkoa wa Rukwa Denis Bandisa amesema amekuja mkoani Rukwa kwaajili ya kushirikiana na watumishi wengine wa serikali ili kuhakikisha maendeleo yanapatikana kutokana uongozi wa Mkuu wa mkoa Joseph Mkirikiti.

Akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Katibu Tawala wa awali Bernard Makali ambaye amestaafu, Bandisa alisema kuwa anaamini kuwa watumishi walilelewa vyema na Katibu Tawala aliyemtangulia, hivyo atashirikiana nao katika kuhakikisha kasi ya maendeleo ya mkoa inapatikana kupitia miradi mbalimbali itakayotekelezwa.

Kwa upande wake Makali aliwashukuru watumishi wote wa kada tofauti ndani ya mkoa huo ambao alishirikiana nao katika kipindi cha miaka minne alipokuwa akifanya kazi kabla ya kustaafu.

Matangazo

  • Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 December 18, 2020
  • Walichaguliwa Kidato cha Kwanza 2021 -PDF December 18, 2020
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU YA AWALI NA MSINGI TANZANIA BARA,JANUARY 2022. February 15, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 HALMASHAURI YA MANISPAA SUMBAWANGA. December 07, 2019
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • RC QUEEN SENDIGA AANZA NA KUPAMBANA NA SUALA LA UDUMAVU RUKWA

    August 07, 2022
  • IDARA YA KILIMO MANISPAA YA SUMBAWANGA YASHAURIWA KULIMA KWA WINGI BROKOLI

    August 05, 2022
  • MAZIWA YA SUMBAWANGA MILK YANAPENDWA NA WATU WENGI NANENANE

    August 03, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KWENYE SENSA H/MANISPAA YA SUMBAWANGA

    July 27, 2022
  • Angalia zote

Video

MANISPAA YA SUMBAWANGA KUTAFUTA MZABUNI WA KUZOA TAKA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa