Ilibandikwa: November 12th, 2018
Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Jacob Mtalitinya amevihakikishia ajira na masoko vikundi 21 vya vijana wanawake na walemavu kutoka katika ofisi ya halmashauri hiyo ili kuongeza chachu ya maendele...
Ilibandikwa: November 9th, 2018
Halmashauri ya manispaa ya Sumbawanga imetoa shilingi milioni 70.5 kwa vikundi 21 vya vijana, wanawake na walemavu ikiwa ni utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ya Mwaka 2004 y...
Ilibandikwa: October 30th, 2018
Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa mji nwa Sumbawanga Martin Gondwe ama kwa jina la kisanii Tigan Tozi amefikisha kilio cha kushindwa kuendelea na masomo yake ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)...