Ilibandikwa: October 16th, 2017
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amesema ujenzi wa uwanja wa ndege wa Sumbawanga utaanza kujengwa kwa kiwango cha lami kuanzia mwishoni mwa mwaka huu baada ya taratibu za...
Ilibandikwa: October 5th, 2017
Tatizo la wauza viatu wa soko la Mandela mjini Sumbawanga kukosa eneo la kufanyia biashara zao limetatuliwa na uongozi wa Manispaa ya Sumbawanga.
Awali Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Dr.Halfan Haule ...
Ilibandikwa: September 28th, 2017
Mkurugenzi wa Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga amewataka viongozi wote wa vitongoji na mitaa kwenye halmashauri hiyo kuhakikisha wanashiriki shughuli za usafi kwenye maeneo yao ihali ...