Ilibandikwa: July 18th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amewataka wale wote wanaohusika na usimamizi wa fedha za ukarabati wa moja ya shule Kongwe nchini, kuhakikisha kuwa fedha hizo zinatumika kama zil...
Ilibandikwa: July 13th, 2017
Serikali mkoani Rukwa imewatoa hofu wageni wote wanaosita kutembelea mkoa huu, wasiwe na wasiwasi wowote kwani hivi sasa ile sifa iliyokuwanayo ya uchawi haipo tena.
Rai hiyo i...
Ilibandikwa: July 11th, 2017
Serikali inatarajia kujenga hospitali mpya ya rufaa ya mkoa wa Rukwa ili kupunguza msongomano wa wagonjwa katika hospitali ya sasa ya mkoa.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Zelothe Steven Zelote, alisema h...