Ilibandikwa: February 3rd, 2018
Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo ameagiza kusitishwa ujenzi wa kiwanda cha unga katika eneo la jirani na zahanati ya Kilimahewa kata ya Malangali wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa.
Mh. Wangabo...
Ilibandikwa: February 2nd, 2018
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameagiza kuwasaka na kuwakamata wananchi wote waliokiuka amri ya mahakama ya kutoutumia msitu wa hifadhi ya Malangali kwaajili ya matumizi ya kibinadamu.
A...
Ilibandikwa: January 30th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amesifu juhudi za ujenzi wa jengo la huduma ya uzazi unaoendelea katika kituo cha afya cha Mazwi kilichopewa Shilingi Milioni 500 za Upanuzi na uboreshaji wa ...