Ilibandikwa: July 13th, 2017
Serikali mkoani Rukwa imewatoa hofu wageni wote wanaosita kutembelea mkoa huu, wasiwe na wasiwasi wowote kwani hivi sasa ile sifa iliyokuwanayo ya uchawi haipo tena.
Rai hiyo i...
Ilibandikwa: July 11th, 2017
Serikali inatarajia kujenga hospitali mpya ya rufaa ya mkoa wa Rukwa ili kupunguza msongomano wa wagonjwa katika hospitali ya sasa ya mkoa.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Zelothe Steven Zelote, alisema h...
Ilibandikwa: May 25th, 2017
Afisa Utamadunia wa Manispaa ya Sumbwanga Charles Kiheka amepania kuunda umoja wa wasanii wa maigizo katika manispaa ya Sumbawanga baada ya kutana na wasanii hao kwa lengo la kuwaelimisha namna ya kuw...