Ilibandikwa: April 23rd, 2018
Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga imeendelea na ujenzi wa upanuzi wa kituo cha afya Mazwi kilichopatiwa shilingi milioni 500 na serikali kuu ili kuboresha huduma za afya na kutarajiwa kuhudumia wa...
Ilibandikwa: April 16th, 2018
Manispaa ya Sumbawanga kupitia mradi wa uboreshsaji miji imetenga kiasi cha shilingi 7,368,573,061 kwaajili ya ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa kilomita 4.6 itakayounganisha kata ...
Ilibandikwa: April 10th, 2018
Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Hamid Njovu amesema kukamilika kwa maabara ya fizikia katika shule ya sekondari Muhama kutawaandaa wananfunzi wa shule hiyo kutekeleza sera ya viwanda na kuweza ku...