Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga imeongeza maghuba 13 ya kuhifadhia uchafu yaliyosambazwa katika kata 12 za mjini kwa lengo la kupunguza kasi ya umwagaji taka ovyo unaofanywa na wananchi katika kata hizo.
Maghuba hayo yaliyotengenezwa kwa ajili ya kuimarisha shughuli za usafi wa Mazingira katika Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga yametengenezwa na Mzabuni wa ndani ya Sumbawanga Seleman Idd Kidenda ikiwa ni moja ya hatua za kukuza viwanda vidogo.
Kabla ya hapo Manispaa ilikuwa na maghuba 11 ambayo hayakuweza kukidhi mahitaji ya wananchi kuhifadhi uchafu huo na kupelekea kuenea kwa uchafu jambo lililopelekea Manispaa kuendelea kuimarisha mazingira ya mji.
Mgawanyo wa maghuba /kontena za kukusanyia taka ngumu katika kata Manispaa.
NO |
KATA |
MAHITAJI |
YALIYOPO |
PUNGUFU |
ENNEO LILILOGAWIWA |
|
1
|
MOMOKA
|
3
|
1
|
2
|
Eden
|
1
|
|
MAJENGO
|
4
|
2
|
2
|
Ofisi ya kata
|
1
|
Kanisa Neema
|
1
|
|||||
3
|
IZIA
|
5
|
4
|
1
|
Soko Sabasaba
|
2
|
Ofisi ya kata
|
1
|
|||||
Soko Bangwe
|
1
|
|||||
4
|
KATANDALA
|
8
|
5
|
3
|
Stendi kuu
Kasakalawe Zahanati -Mzava Ushauri bure Bomani |
1
1 1 1 1 |
5
|
SUMBAWANGA
|
4
|
1
|
3
|
Kanyau
|
1
|
6
|
CHANJI
|
4
|
2
|
2
|
Chanji stendi
Soko la Soweto |
1
1 |
7
|
KIZWITE
|
4
|
2
|
2
|
Sokoni Kizwite
Soko OTC |
1
1 |
8
|
MAZWI
|
5
|
5
|
0
|
Chitepo
Soko kuu Mandela Mbizi bar Mission Mtaa |
1
1 1 1 1 |
9
|
MSUA
|
4
|
1
|
3
|
Soko la Mwandendile
|
1
|
10
|
MAFULALA
|
4
|
1
|
3
|
Soko jipya
|
1
|
11
|
LWICHE
|
2
|
0
|
2
|
Hakuna
|
0
|
12
|
MALANGALI
|
2
|
0
|
2
|
Hakuna
|
0
|
JUMLA KUU
|
50
|
26
|
24
|
|
24
|
Sumbawanga Municipal Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga
Simu ya Mezani: +255252802163
Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255
Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz
HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa