Mhandisi wa Maji wa Manispaa Kazoya Mong'ateko akifafanua baada ya kuulizwa swali
Mhandisi wa Manispaa ya Sumbawanga Kazoya akimkabidhi kipaza sauti kiongozi wa jumuiya ya watumiaji maji Isesa ndugu Evarist ili aulize swali.
Mwanasheria wa manispaa ya Sumbawanga James Makwinya akitoa maelekezo wakati akiwasilisha mada ya uundaji na usajili wa jumuiya za watumia maji.
Mh. Thomas Daniel Diwani wa kata ya Mollo akichangia na kuuliza swali
Sumbawanga Municipal Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga
Simu ya Mezani: +255252802163
Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255
Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz
HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa