• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Masuala ya Lishe
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Uratibu na Mipango
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

Uhuru Torch Completed projects 2022

Start Date: 2022-09-21
End Date: 2012-09-22

SEKTA YA ELIMU

 

UWEKAJI JIWE LA MSINGI VYUMBA VITATU (03) VYA MADARASA NA OFISI YA WALIMU SHULE YA MSINGI KANKWALE MANISPAA YA SUMBAWANGA .

 

Mwenge wa Uhuru ukiwa Katika Wilaya ya Sumbawanga utaweka jiwe la Msingi  Ujenzi wa Vyumba vitatu vya Madarasa katika shule ya Msingi Kankwale katika Kata ya Senga Manispaa ya Sumbawanga. Mradi huu umegharimu kiasi cha Tsh 60,952,500 fedha kutoka Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA).

Mradi huu utasaidia kuongeza ubora wa mazingira ya kujifunzia na kufundishia na kuongeza ufaulu kwa Wananfunzi .

 

SEKTA YA ELIMU

 

UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI WA MADARASA MANNE, CHUMBA CHA WATOTO, VYOO, NA JENGO LA UTAWALA TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA MANISPAA YA SUMBAWANGA.

Mwenge wa Uhuru ukiwa Katika Wilaya ya Sumbawanga utaweka jiwe la Msingi  Ujenzi wa Vyumba vinne vya Madarasa,  Chumba cha Watoto, Vyoo na Jengo la Utawala Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Kituo kilichopo Nambogo Kata ya Milanzi Manispaa ya Sumbawanga . Mradi huu umegharimu kiasi cha Tsh 320,000,000/= ikiwa ni utekelezahi wa miradi ya SEQUIP.

Mradi huu utasaidia watoto wa kike waliopata changamoto ya kushindwa kuendelea na masomo katika mfumo rasimi, watu wenye mahitaji ya kielimu kuanzia wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu na watu wote wenye uhitaji wa kujiendeleza kielimu kuanzia sekondari hadi elimu ya juu. 

SEKTA YA MIUNDO MBINU

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KATIKA BARABARA YA TAWAQAL PETROL STATION – HIGH COURT YENYE UREFU WA KM 2.03 ILIYOJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI MANISPAA YA SUMBAWANGA.

Mwenge wa Uhuru ukiwa Katika Wilaya ya Sumbawanga utaweka jiwe la Msingi  katika Barabara ya Tawaqal Petrol Sation – High Court katika Kata ya Katandala  Manispaa ya Sumbawanga  yenye urefu wa Km 2.03 iliyojengwa kwa kiwango cha Lami . Mradi huu umegharimu kiasi cha Tsh 500,000,000/= ikiwa ni fedha za Tozo ya Miamala .

Mradi huu utasaidia kurahisisha shughuli mbali mbali za usafiri na usafirishaji pamoja na kuongeza uboresha wa mji wa Manispaa ya Sumbawanga.

Pia kukamilika kwa barabara hii kumepunguza sana uwezekano wa kuharibika kwa vyombo vya moto hasa Magari, Bajaji na piki piki kutokana na hali halisi ya barabara ilivyokuwa awali.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA CHANJO KWA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO April 26, 2023
  • RATIBA YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2023 March 11, 2023
  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2023 March 11, 2023
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KAZI ZA UBORESHAJI WA BARABARA KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA March 01, 2023
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • SHIRIKIANENI NA SERIKALI KULETA MAENDELEO RUKWA-RC MAKONGORO

    March 16, 2025
  • MD PENDO MANGALI-MSIWE MADALALI WA VIWANJA, CHAPENI KAZI

    November 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA SUMBAWANGA

    October 01, 2024
  • EDWINE MISASI NAIBU MEYA MPYA MANISPAA YA SUMBAWANGA

    August 27, 2024
  • Angalia zote

Video

MANISPAA YA SUMBAWANGA KUTAFUTA MZABUNI WA KUZOA TAKA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa