• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Masuala ya Lishe
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Uratibu na Mipango
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

Miradi ya maji Manispaa ya Sumbawanga

Start Date: 2017-05-05
End Date: 2017-12-30

Kuanzia mwaka wa fedha 2012/2013 hadi kufikia Decemba 2017 Halmashauri imekamilisha ujenzi wa miradi mitano kupitia programu ya maendeleo ya sekta ya maji (WSDP) miradi hiyo ni Kanondo, Chelenganya, Mlanda, Malonje na Pito group unao hudumia vijiji vitatu mbavyo ni Pito, Malagano na Tamasenga, kwa ujumla miradi hii inahudumia vijiji saba vyenye jumla ya wakazi 28,657.

Jedwali linaonesha hatua iliyofikiwa katika utekelezaji
 
 
 
Jina la Halmashauri
Jina la Mradi
Gharama za ujenzi wa mradi
Kazi zilizopangwa kufanyika
Kazi zilizofanyika
Malipo aliyolipwa Mkandarasi 
Maelezo/Maoni

Sumbawanga MC

Ujenzi wa mradi wa Maji ya mserereko kijiji cha Kanondo
332,588,524.80
-Kujenga tanki la Maji lenye ukubwa wa mita za ujazo 90,
-Kuchimba Mitaro na kulaza bomba kuu lenye urefu wa mita 4300 na mabomba ya kutawanya maji mita 4650 na
-Ujenzi wa vituo 13 vya kuchotea maji
- Tanki la Maji limejengwa,
-Bomba zimelazwa
-Ujenzi wa vituo 13 vya
 kuchotea maji umekamilika
315,496,138.88
Mradi umekamilika na unafanya kazi
Ujenzi wa mradi wa Maji ya mserereko kijiji cha Malonje
288,615,140.00
-Ujezi wa matanki mawili ya maji yenye ukubwa wa mita za ujazo 45 kila moja,
-Ujenzi wa banio la maji,
-Kuchimba Mitaro na kulaza bomba kuu na mabomba ya kutawanya maji
-Ujenzi wa vituo 14 vya Kuchotea Maji
-Kununua na kufunga pampu ya umeme wa jua
-Ujenzi wa matanki mawili umekamilika
-Banio la maji limejengwa
-Mabomba yamelazwa
-Ujenzi wa vituo umekamilika
-Pampu ya umeme wa jua imefungwa
288,615,140.00
Mradi umekamilika na unafanya kazi
Ujenzi wa mradi wa Maji ya mserereko kijiji cha Mlanda
394,997,000.00
-Ujezi wa tanki la Maji lenye ukubwa wa mita za Ujazo 90,
-Kukarabati tanki la maji lenye mita za ujazo 45,
-Kuchimba Mitaro na kulaza Bomba kuu na mabomba ya kutawanya Maji na -Ujenzi wa vituo 19 vya Kuchotea Maji na ukarabati wa vituo 15
-Ukarabati wa banio moja na ujenzi wa banio la pili
-Ujenzi wa tanki umekamilika,
-Tanki la maji lenye mita za ujazo 45 limekarabatiwa,
-Bomba zimelazwa
-Ukarabati na ujenzi wa mabanio umekamilika
-Ujenzi wa vituo 19 vya Kuchotea Maji umekamilika na ukarabati wa vituo 15 umekamilika
354,932,420.50
Mradi umekamilika na unafanya kazi.
Ujenzi wa mradi wa Maji ya mserereko kijiji cha Chelenganya
556,434,176.60
-Kukarabati banio la maji
-Ujezi wa tanki la maji lenye ujazo wa lita 45,000
-Kuchimba mitaro na kulaza bomba kuu lenye urefu wa mita 8603 na mabomba ya kutawanya maji mita 4060 (Chelenganya)
-Ujenzi wa vituo 12 vya kuchotea maji
-Kupeleka maji kwenye tanki la kijiji cha katuka.
-Banio la maji limekarabatiwa
-Tanki limejengwa
-Vituo 12 vimejengwa
-Uchimbaji wa mitaro na ulazaji wa bomba umekamilika
-Mabomba yamelazwa mpaka katuka na maji yanaingia kwenye tanki
537,940,160.00
Mradi umekamilika na unafanya kazi isipokuwa tenki lilijengwa chini ya kiwango na mkandarasi wa awali hivyo mchakato wa ujenzi wa tenki jipya umefanyika.
Ujenzi wa tenki jipya katika Kijiji cha Chelenganya
46,088,499.00
-Kubomoa tenki la zamani
-Ujenzi wa tenki jipya
Kazi zote zilizo pangwa zimefanyika na kukamilika
42,218,075.5
Mradi umekamilika na unafanya kazi upo kwenye muda wa matazamio
Ukarabati wa mradi wa Maji katika vijiji vya Pito, Malagano na Tamasenga
857,328,360
-Kukarabati banio la maji
-Ujezi wa tenki la Maji lenye ujazo wa lita 135,000
- Ujenzi wa tenki lenye ujazo wa lita 45,000
-Ukarabati matanki 2 yenye ujazo wa lita 45,000 kila moja
-Kuchimba mitaro na kulaza bomba kuu mita 8800 na mabomba ya kutawanya maji mita 19,755
-Ujenzi na ukarabati wa vituo 56 vya kuchotea maji.
-Ujenzi wa matenki umekamilika
-Ukarabati wa matanki umekamilika
-Vituo vya Maji vimejengwa na  kukarabatiwa,
- Bomba zimelazwa
    516,712,200.00
-Mradi umekamilika na unafanya kazi
Ujenzi wa mradi wa Maji kijiji cha Kisumba & Matanga
335,971,460
-Ukarabati matanki 2 yenye ujazo wa lita 45,000 na 135000
-Kuchimba mitaro na kulaza bomba kuu mita 3150 na mabomba ya kutawanya maji mita 10755
-Ujenzi wa vituo 29 vya kuchotea maji
-Ukarabati matanki 2 yenye ujazo wa lita 45,000 na 135000 unaendelea
- Bomba kuu mita 4200 unaendelea
- mabomba ya kutawanya maji mita 11,658
-Ujenzi wa vituo 31 vya kuchotea maji
Hakuna malipo yaliyofanyika
Ujenzi unaendelea
Ujenzi wa mradi wa Maji kijiji cha Kasense & Chipu
778,179,200
-Ukarabati tanki 1 lenye ujazo wa lita 45,000 na ujenzi wa tenki la maji raiser lita 45000  
-Kuchimba mitaro na kulaza bomba kuu mita 8900 na mabomba ya kutawanya maji mita 6,650
-Ujenzi wa vituo 29 vya kuchotea maji
-Ukarabati tanki 1 lenye ujazo wa lita 45,000 umekamilika.
 -Ujenzi wa tenki la maji raiser lita 45,000 upo hatua ya mfuniko.  
-Kuchimba mitaro na kulaza bomba kuu mita 8900  kazi imekamilika
- Mabomba ya kutawanya maji mita 6,650 umekamilika.
-Ujenzi wa vituo 33 vya kuchotea maji
278,929,521
Mradi upo katika hatua zamwisho za utekelezaji
Ujenzi wa banio la maji, bomba kuu  Sambulwa  hadi Mtipe tanki
834,837,274
Ujenzi wa tegamaji na bomba kuu toka chanzo cha Sambulwa hadi hadi tenki la Mtipe.
Ujenzi wa tegamaji upo hatua ya kumimina zege na bomba kuu toka chanzo cha Sambulwa hadi tenki la Mtipe mtaro umechimbwa.
Hakuna malipo yaliyofanyika
Kazi inaendelea

Matangazo

  • TANGAZO LA CHANJO KWA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO April 26, 2023
  • RATIBA YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2023 March 11, 2023
  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2023 March 11, 2023
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KAZI ZA UBORESHAJI WA BARABARA KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA March 01, 2023
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • MKURUGENZI PENDO MANGALI AHIMIZA UADILIFU NA UWABIKAJI KWA WAHITIMU RIBM

    June 20, 2025
  • SHIRIKIANENI NA SERIKALI KULETA MAENDELEO RUKWA-RC MAKONGORO

    March 16, 2025
  • MD PENDO MANGALI-MSIWE MADALALI WA VIWANJA, CHAPENI KAZI

    November 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA SUMBAWANGA

    October 01, 2024
  • Angalia zote

Video

MANISPAA YA SUMBAWANGA KUTAFUTA MZABUNI WA KUZOA TAKA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa