• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Masuala ya Lishe
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Uratibu na Mipango
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

Vikundi vilivyopewa mikopo vyapata tenda halmashauri.

Ilibandikwa: November 12th, 2018

Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Jacob Mtalitinya amevihakikishia ajira na masoko vikundi 21 vya vijana wanawake na walemavu kutoka katika ofisi ya halmashauri hiyo ili kuongeza chachu ya maendeleo ya viwanda na kuongeza ajira na hatimae kuinua vipato vya vikundi hivyo ili kuweza kutoa huduma ndani nan je ya Mkoa wa Rukwa.

Mtalitinya amesema kuwa miongoni mwa vikundi vilivyopewa mikopo hiyo kuna kinachojishughulisha na utengenezaji wa chaki, utengenezaji wa matofali, useremala na kufanya usafi hivyo aliagiza kuwa shule zote zilizopo chini ya Ofisi yake kuhakikisha wananunua chaki kutoka katika kiwanda hicho ili kukuza soko na mtaji wa kikundi hicho pamoja na kuvitumia vikundi vya usafi katika kushiriki kuiweka manispaa safi na kununua matofali kwaajili ya majengo ya taasisi za serikali katika vikundi hivyo.

“Kiwanda cha chaki ambacho tunakipa mkopo leo, tunaelekeza na ninaelekeza tena shule zangu zote za manipaa tutanunua chaki zote kutoka katika kiwanda hichi kama utekelezaji wa masoko, lakini pia kwa upande wa usafi hatutaajili wakala vikundi hivi vitapewa kazi kwaajili ya usafi, wapo wanaofanya kazi za useremala na kazi nyingine tutaendelea kuwatumia kwenye kazi zetu za ujenzi kama utengenezaji wa “Ma-grill” kuhakikisha wanapata ajira na masoko na mitaji yao iweze kukua,”Alisema.

Mtalitinya aliyasema hayo kwenye hafla fupi ya kukabidhi mikopo kwa vikundi 21 vya ujasiliamali iliyofanyika katika ukumbi wa manispaa ya sumbawanga ambapo mgeni rasmi wa hafla hiyo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo.

Kwa upande wake Mh. Wangabo katika kuhakikisha masoko yanapatikana ndani ya mkoa aliziagiza halmashauri zote mkoani humo kuhakikisha wananunua chaki kutoka katika kiwanda cha kuzalisha chaki kilichopo manispaa ya sumbawanga ili kuthamnini na kukipa uwezo kikundi hicho kufanya vizuri na kukuza uzalishaji na kuongeza ajira.

“serikali yetu ya wamu ya tano inasisitiza uanzishwaji na uimarishwaji wa viwanda vyetu vya ndani ili tupunguze kuagiza kutoka nje, sasa kama taifa tunalenga hivyo mkoa na wenyewe uko hivyo hivyo, nilazima tuhakikishe kuwa bidhaa zetu za ndani tunapatia soko ndani hapa hapa na kwa hali hiyo hizi chaki tunazotengeneza wenyewe katika mkoa wetu ni lazima zitumike katika halmashauroi zetu zote,” Alibainisha.

Shilingi 70,590,000/= inatolewa leo hii ili kuwezesha Vikundi 21 vya ujasiliamali amba  13 ni vya Wanawake  7 vya Vijana na 1 cha Walemavu.vikundi hivi  vinajishughulisha na Usindikaji mafuta, chakula,vinywaji, Useremala, Utengenezaji wa Chaki na ushonaji, ufumaji na utengenezaji wa Mabatiki na Ufugaji wa kuku na ngombe wa maziwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA CHANJO KWA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO April 26, 2023
  • RATIBA YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2023 March 11, 2023
  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2023 March 11, 2023
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KAZI ZA UBORESHAJI WA BARABARA KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA March 01, 2023
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • SHIRIKIANENI NA SERIKALI KULETA MAENDELEO RUKWA-RC MAKONGORO

    March 16, 2025
  • MD PENDO MANGALI-MSIWE MADALALI WA VIWANJA, CHAPENI KAZI

    November 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA SUMBAWANGA

    October 01, 2024
  • EDWINE MISASI NAIBU MEYA MPYA MANISPAA YA SUMBAWANGA

    August 27, 2024
  • Angalia zote

Video

MANISPAA YA SUMBAWANGA KUTAFUTA MZABUNI WA KUZOA TAKA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa