• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Masuala ya Lishe
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Uratibu na Mipango
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

Afisa Utamaduni aunda umoja wa wasanii Sumbawanga

Ilibandikwa: May 25th, 2017

Afisa Utamadunia wa Manispaa ya Sumbwanga Charles Kiheka amepania kuunda umoja wa wasanii wa maigizo katika manispaa ya Sumbawanga baada ya kutana na wasanii hao kwa lengo la kuwaelimisha namna ya kuweza kujisajili ili watambulike kisheria na kuisogeza Sanaa yao nje ya mipaka ya Mkoa nan chi kwa ujumla.

Amelifanya hilo baada ya kuona kuwa wasanii wengi wamekuwa wakilalamika kuwa kazi zao hazithaminiwi na wanunuzi na kukosa ushirikiano kutoka serikalini hivyo kupelekea maisha yao kuendelea kuwa duni licha ya kuipenda kazi wanayoifanya kwakuwa wanajipatia kipato kupitia kazi hiyo.

“Wasanii mmekuwa katika makundi makundi, hamna ushirikiano katika kazi zenu, kila mtu ameonekana kujua kuliko mwengine, hampeani nafasi, hamshauriani kwa mwendo huu hatuwezi kufika na kama tutafanya kazi kwa ushirikiano tutakuwa mfano wa kuigwa n ahata halmashauri nyingine, Suluhisho pekee mimi nitasimamia uundwaji wa umoja wa wasanii katika Manispaa hii.” Kiheka alisema

Katika kuhakikisha hilo linafanikiwa Ndugu Kiheka aliongeza kuwa ni wakati sasa umefika wa wasanii kusahau tofauti zao na kushikamana kwa pamoja ili kuhakikisha kuwa Sanaa ya Mkoa wa Rukwa inafahamika katika Nchi na dunia kwa ujumla.

Nae kiongozi wa kikundi cha Sanaa cha Great Mind Association (GMA) Frank Dachi aliunga mkono hoja ya Afisa Utamaduni huyo na kusema kuwa kama wakongwe wa Sanaa wamepiti mengi na kati ya hayo hakuna faida waliyoiona kwa wao kutengana zaidi ya kuongezeka kwa uhasama baina yao na hatimae kuanza kugombea wasanii na kupelekea kazi zao kushindwa kuthaminika.

“Sisi wote ni watu wazima tumekuelewa Afisa, sisi tunaunga mkono yale yote uliyoyasema a tunakuhakikishia kwa usimamizi wako kama mwakilishi wa serikali kwenye hili tutafanikiwa, hapo mwanzo hatukuwa na kiongozi kama wewe ambaye aliwahi kutukutanisha pamoja kama hivi, tunashkuru sana,” Dachi alisema

Kabla ya kumaliza mkutano huo Afisa Utamaduni aliweza kuwateua watu wanne ambao watakuwa viongozi wa muda wa umoja huo hadi hapo uchaguzi kamili utakapofanyika.

Matangazo

  • TANGAZO LA CHANJO KWA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO April 26, 2023
  • RATIBA YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2023 March 11, 2023
  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2023 March 11, 2023
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KAZI ZA UBORESHAJI WA BARABARA KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA March 01, 2023
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • SHIRIKIANENI NA SERIKALI KULETA MAENDELEO RUKWA-RC MAKONGORO

    March 16, 2025
  • MD PENDO MANGALI-MSIWE MADALALI WA VIWANJA, CHAPENI KAZI

    November 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA SUMBAWANGA

    October 01, 2024
  • EDWINE MISASI NAIBU MEYA MPYA MANISPAA YA SUMBAWANGA

    August 27, 2024
  • Angalia zote

Video

MANISPAA YA SUMBAWANGA KUTAFUTA MZABUNI WA KUZOA TAKA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa