Kwanza unatakiwa uje na hati ya maauziano ya shamba ulilonunua na kisha uje Ofisi ya Ardhi iliyopo jengo la Manispaa chumba namba 22 na utaonana na Wataalamu wa Ardhi.
Sumbawanga Municipal Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga
Simu ya Mezani: +255252802163
Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255
Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz
HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa