Monday 11th, November 2024
@Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga
Siku ya Kuku wa Mayai huadhimishwa kila Mwaka ifikapo tarahe 05 Mei.
Katika Siku hii utapata Elimu kutoka kwa wataalam njia Bora za Ufugaji wa kuku wa Mayai.
Utapata elimu ya Masoko ya Mayai
Kutakuwa na Monesho ya Ufugaji wa kuku
Sumbawanga Municipal Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga
Simu ya Mezani: +255252802163
Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255
Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz
HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa