Saturday 14th, September 2024
@Shule ya Msingi ya Msingi Ndua
Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga inatarajia kuupokea Mwenge wa Uhuru 2023 Mnamo Mwezi Agosti 2023. Katika Mbio za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2022 Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga ilishika nafasi ya kwanza Kimkoa, nafasi ya nane Kikanda na Nafasi ya 58 kitaifa.
Halmashauri ya manispaa ya Sumbawanga inapenda kuwashukuru Waheshimiwa Madiwani,Watumishi wote wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga, Viongozi wa taasisi mbalimbali na Wananchi wote kwa kuupokea Mwenge na kuukimbiza mwenge Wa uhuru tarehe 21.09. 2022 katika manispaa ya Sumbawanga.
ASANTENI SANA
Sumbawanga Municipal Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga
Simu ya Mezani: +255252802163
Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255
Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz
HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa