• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Masuala ya Lishe
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Uratibu na Mipango
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

PLANNING AND CORDINATION DIVISION

Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji inashughulikia upangaji na uratibu wa mipango ya maendeleo katika miaka husika, usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ya Halmashauri, Tafiti na ukusanyaji wa Takwimu pamoja na kuratibu shughuli za Uwekezaji.

Idara hii inaongozwa na Mchumi wa Manispaa na imegawanyika katika sehemu nne kama ifuatavyo:-

  • Mipango na Sera
  • Usimamizi na Ufuatiliaji wa Miradi ya Maendeleo
  • Uwekezaji
  • Tafiti na Takwimu.

 Sehemu ya Mipango na Sera.

Majukumu ya sehemu hii ni kama ifuatavyo:-

  • Kusimamia Uandaaji wa mpango wa utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi kila mwaka.
  • Kuratibu ufanisi wa mifuko ya Halmashauri: LGCDG, Mfuko wa Jimbo na fedha za mapato ya ndani.
  • Uratibu na utayarishaji wa Mipango shirikishi katika Kata zote za Halmashauri kupitia Mfumo wa O&OD.
  • Uratibu na utayarishaji wa Mpango na Bajeti ya kila mwaka ya Halmashauri.
  • Kusimamia uandaaji wa mipango kazi (Action Plans) ya bajeti za kila mwaka na kuziwasilisha katika ngazi husika..
  • Kuratibu uandaaji wa maandiko ya miradi mbalimbali ya maendeleo.
  • Kuratibu maandalizi na utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN)
  • Kuratibu maandalizi ya Sera na Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Kuratibu uandaaji wa taarifa mbalimbali za Halmashauri pamoja na taarifa za utekelezaji wa maagizo kutoka mamlaka za juu za serikali

Sehemu ya Usimamizi, Ufuatiliaji na Tathmini ya miradi ya

maendeleo.

Majukumu ya sehemu hii yapo kama ifuatavyo:-

  1. Kuratibu uandaaji wa taarifa za Ilani ya Uchaguzi wa CCM ya 2015 - 2020
  2. Kufuatilia utekelezaji halisi na matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo.
  3. Kuratibu miradi ya jumuiya za wananchi na taasisi nyinginezo za ndani na nje ikiwemo miradi ya wahisani
  4. Kuratibu utekelezaji wa Mipango ya muda mrefu, kati na mfupi ikiwepo Ilani ya Uchaguzi na uandaaji wa taarifa za utekelezaji wa mipango hiyo
  5. Kuratibu utekelezaji wa mipango shirikishi.
  6. Kuandaa taarifa za Miradi ya maendeleo ya Manispaa kwa vipindi mbalimbali na kuziwasilisha kwenye mamlaka husika.
  7. Kuandaa mapitio ya bajeti ya kila mwaka baada ya kipindi cha nusu mwaka
  8. Kuandaa mapendekezo ya kubadili matumizi ya vifungu vya bajeti ya maendeleo kila inapobidi.
  9. Kuandaa taarifa za matukio ya kila wiki na kuiwasilisha ngazi ya mkoa.

Sehemu ya Uwekezaji.

Sehemu hii hushughulikia mipango ya uwekezaji katika Halmashauri ya Manispaa kwa kufanya yafuatayo,

1. Kuratibu na kusimamia maandalizi ya mipango ya uwekezaji ya Halmashauri.

2. Kuratibu utekelezaji na uandaaji wa taarifa za mipango ya uwekezaji

3. Kuratibu utekelezaji wa miradi ya DMDP

Sehemu ya Utafiti na Takwimu.

Sehemu hii hushughulikia masuala yanayohusu takwimu mbalimbali za kiuchumi na kijamii pamoja na kuratibu shughuli za utafiti kama ifuatavyo.

  • Kuratibu na kusimamia benki ya Takwimu ya Halmashauri ikihusisha takwimu za LGMD.
  • Kuhuisha na kuboresha Takwimu za Kiuchumi na Kijamii (Profile) za Halmashauri.
  • Kuratibu na kuhifadhi takwimu za Idadi ya watu za Halmashauri kwa kutumia rejista za wakazi wa Mitaa.
  • Kuratibu na kutathmini utekelezaji wa Mpango mkakati wa Halmashauri.
  • Kuratibu zoezi la Sensa ya Watu na Makazi.
  • Kuandaa taarifa za utatuzi wa kero na malalamiko kila wiki na kuziwasilisha Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

Matangazo

  • Matokeo ya kidato cha NNE 2022 yatangazwa... January 29, 2023
  • Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 December 18, 2020
  • Walichaguliwa Kidato cha Kwanza 2021 -PDF December 18, 2020
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU YA AWALI NA MSINGI TANZANIA BARA,JANUARY 2022. February 15, 2022
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • ZAIDI YA WANAFUNZI ELFU 50 KUPATIWA DAWA ZA MINYOO SUMBAWANGA

    November 24, 2022
  • VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA KIFEDHA MANISPAA YA SUMBAWANGA VYAPEWA ELIMU

    November 23, 2022
  • OFISI YA KAMISHNA WA ARDHI RUKWA YAWAFUATA WANANCHI MITAANI KUTATUA CHANGAMOTO ZAO

    October 27, 2022
  • MANISPAA YA SUMBAWANGA YAZINDUA MUUNGOZO WA ELIMU

    September 26, 2022
  • Angalia zote

Video

MANISPAA YA SUMBAWANGA KUTAFUTA MZABUNI WA KUZOA TAKA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa