• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Masuala ya Lishe
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Uratibu na Mipango
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

MABARAZA YA WAFANYAKAZI YAWE TASWIRA YA UTENDAJI KWA HALMASHAURI RUKWA

Ilibandikwa: January 3rd, 2024

Kitengo cha Mawasiliano

Wakurugenzi wa Halmashauri mkoani Rukwa wametakiwa kuyapa fursa  Mabaraza ya Wafanyakazi kwenye halmashauri zao  kuweza kujadiliana changamoto zinazowakabili ili waweze kuzitatua changamoto zao sehemu za kazi kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na tija katika utumishi.

Rai hiyo imetolewa na Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Rukwa Donald Nssoko wakati uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi la Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga ambapo Watumishi hao walipata fursa ya kueleza  na kupewa ufafanuzi wa changamoto mbalimbali zinazowakabili.

Nssoko alisema kuwa utendaji kazi wa Mabaraza ya Wafanyakazi kwenye halmashauri ni sawa ni kioo ambacho Wakurugenzi wanaweza kukitumia kuona taswira ya ufanisi wa halmashauri zao na kutumia nafasi hiyo kurekebisha dosari zilizopo ili kazi ziweze kufanyika huku Watumishi waweze kufanyakazi kwa kujituma na ari pia.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa Sumbawanga Kulanga Kayanga alisema maelekezo yaliyotolewa na serikali ya mkoa yamepokelewa na kila Mtumishi hivyo kilichobaki ni suala uwajibikaji katika maeneo ya kazi kwa kila mtu kutimiza wajibu wake ili kupata haki za kiutumishi lakini pia kuwatumikia wananchi.

Katibu Msaidizi wa Baraza la Wafanyakazi la Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga Edina Mbise ambaye ni mmoja kati ya viongozi walichaguliwa kwenye kikao hicho alisema wamechukua kijiti cha uongozi wakiwa na mikakati ya kusikiliza changamoto za Watumishi na kuziwasilisha kwa Mwajiri ili ziweze kutatua kwa kufuata ngazi husika.

Saada Kimanta aliyehudhuria kikao hicho akiwa ni Mtendaji wa kata ya Mzwi alisema awali walikuwa na changamoto nyingi zikiwapo za malimbikizo ya mishahara na malipo fedha za likizo lakini kupitia kikao hicho Kaimu Mkurugenzi Kayanga amezitolea ufafanuzi na ahadi ya kuzishughulikia, hivyo wana imani kuwa matatizo yao yatakwisha baada ya kuwasilishwa serikalini.

Matangazo

  • TANGAZO LA CHANJO KWA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO April 26, 2023
  • RATIBA YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2023 March 11, 2023
  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2023 March 11, 2023
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KAZI ZA UBORESHAJI WA BARABARA KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA March 01, 2023
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • SHIRIKIANENI NA SERIKALI KULETA MAENDELEO RUKWA-RC MAKONGORO

    March 16, 2025
  • MD PENDO MANGALI-MSIWE MADALALI WA VIWANJA, CHAPENI KAZI

    November 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA SUMBAWANGA

    October 01, 2024
  • EDWINE MISASI NAIBU MEYA MPYA MANISPAA YA SUMBAWANGA

    August 27, 2024
  • Angalia zote

Video

MANISPAA YA SUMBAWANGA KUTAFUTA MZABUNI WA KUZOA TAKA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa