• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Masuala ya Lishe
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Uratibu na Mipango
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasimali watu
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Utunzaji wa Mazingira
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

MKURUGENZI MTALITINYA AZITAKA IDARA NA VITENGO VYATAKIWA KUFANYA MAFUNZO YA NDANI

Ilibandikwa: May 27th, 2022

Na Khadija Dalasia,

Afisa Mawasiliano Serikalini,Manispaa ya Sumbawanga.

Mkurugenzi  Manispaa ya Sumbawanga Jacob James  Mtalitinya  amewataka  wakuu wa idara  zote katika Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga  kuhakikisha  wanaandaa mafunzo ya ndani na kuwajengea uwezo watumishi wao ili waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo katika idara zao.

Ameyasema hayo jana wakati wa ufunguzi wa mafunzo wa Maafisa Ugani wa Kilimo na Mifugo mafunzo yaliyoandaliwa na Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kupitia fedha za ruzuku na mapato mengineyo “OC” ya idara hiyo.

Katika mafunzo  hayo Mtalitinya alimpongeza Kaimu Mkuu idara hiyo Eliud Fungo kwa  ubunifu huo alioufanya ambapo ameweza kutumia fedha  hizo za ruzuku kuandaa mafunzo hayo ambayo yanatoa motisha chanya kwa watumishi na pia kuimarisha umoja na ushirikiano katika idara yao.

Alisema.. “Mkurugenzi hawezi kuwa Mkurungezi kama Idara na Vitengo vyake havifanyi kazi zao na kutimiza wajibu wao. Iwapo Idara na Vitengo vitafanya kazi na kutimiza wajibu wao, zikiwajengea uwezo watumishi wao,zikifanya kwa weledi majukumu yao   na kufanya kwa ushirikiano, umoja na upendo taasisi ikaenda hapo ndipo Mkurugenzi anakuwa Mkurugenzi . Kinyume na hapo Mkurugenzi anageuka kuwa kiranja kwenda kutekeleza Majukumu ya Wakuu wa Idara na vitengo katika idara zao ili mambo yaende kwenye taasisi”

Hatahivyo MkurugenziMtalitinya aliwataka watumishi wote katika halmashauri hiyo kutekeleza kwa vitendo na kuonesha ni namna gani fani walizosomea zinawasaidia katika maisha yao ya kila siku na si kusubiri hadi wakati wa kustaafu ndio waanze kufanya shughuli zitakazo waingizia kipato kupitia fani zao.

Aidha aliiagiza  Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kuhakikisha wanaweka utaratibu mzuri  ambao utafanikisha maafisa ugani  kushiriki maonesho ya Nane nane yatakayofanyika Jijini Mbeya katika viwanja vya Mwakangale baadaye mwaka huu.

Matangazo

  • TANGAZO LA CHANJO KWA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO April 26, 2023
  • RATIBA YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2023 March 11, 2023
  • RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2023 March 11, 2023
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KAZI ZA UBORESHAJI WA BARABARA KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA March 01, 2023
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • MKURUGENZI PENDO MANGALI AHIMIZA UADILIFU NA UWABIKAJI KWA WAHITIMU RIBM

    June 20, 2025
  • SHIRIKIANENI NA SERIKALI KULETA MAENDELEO RUKWA-RC MAKONGORO

    March 16, 2025
  • MD PENDO MANGALI-MSIWE MADALALI WA VIWANJA, CHAPENI KAZI

    November 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA SUMBAWANGA

    October 01, 2024
  • Angalia zote

Video

MANISPAA YA SUMBAWANGA KUTAFUTA MZABUNI WA KUZOA TAKA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa