Saturday 14th, September 2024
@Nelson Mandela Stadium
Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Machi 08 2023 Kimkoa yatafanyika Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga, Mgeni Rasmi katika Maadhimisho hayo atakuwa Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mhe. Queen C. Sendiga. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Mwaka 2023 " Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia: Chachu katika kuleta usawa wa Kijinsia"
Sumbawanga Municipal Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga
Simu ya Mezani: +255252802163
Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255
Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz
HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa