• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi & Mipango Miji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Taka Ngumu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uchumi
      • Utawala & Rasilimali Watu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Matumizi bora ya Ardhi
    • Miundombinu yetu
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
    • Rasilimali za mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Huduma ya Maji
    • Education
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • UKIMWI
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

Elimu ya Sekondari

MAJUKUMU YA IDARA YA ELIMU SEKONDARI

  1. Kumshauri Mkurugenzi wa Halmashauri kuhusu shughuli zote zinazohusu Idara ya Elimu ya Sekondari
  2. Kusimamia mitihani yote ya ndani na ile ya Taifa yaani Mitihani ya kidato cha II,IV na VI.
  3. Kusimamia, kuratibu na kufuatilia shughuli za ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari kama vile nyumba za walimu, madarasa, majengo ya utawala, maabara, maktaba na vyoo.
  4. Kusimamia na kuratibu shughuli zote za Ukusanyaji, uchambuzi na kutafsiri takwimu za Idara ya elimu Sekondari na kuzituma kwa wadau wa elimu
  5. Kusimamia na kuratibu shughuli za uandaaji wa taarifa na kuzituma kwa wadau mbalimbali wa elimu ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa
  6. Kusimamia na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata taaluma kwa kiwango kilicho bora kwa mujibu wa Sera ya Elimu ya mwaka 1995 na 2014.
  7. Kusimamia na kuhakikisha nidhamu ya wanafunzi, walimu na watumishi wasio walimu inadumishwa shuleni
  8. Kusimamia na kuhakikisha fedha za Idara ya Elimu Sekondari zinatumika kwa kufuata kanuni, sheria, taratibu na miongozo ya fedha za Serekali za Mitaa
  9. Kuhakikisha vifaa vya kufundishia na kujifunzia vinapatikana katika shule za sekondari
  10. Kuhakikisha kuwa shule zote za Sekondari zina samani za kutosha kwa ajili ya walimu na wanafunzi
  11. Kuandaa ajenda na kuhudhuria vikao vyote vinavyohusu Idara ya Elimu Sekondari
  12. Kuandaa taarifa za utekelezaji za Idara ya elimu sekondari za robo na mwaka na kuziwasilisha kwa wadau mbalimbali wa maendeleo kama vile Waheshimiwa Madiwani, Mkoa na Taifa
  13. Kuandaa makisio ya bajeti ya Idara ya Elimu ya Sekondari kila mwaka.
  14. Kupokea na kuwapangia vituo walimu na wafanyakazi wa idara wanaohamia au wanaoajiriwa katika Halmashauri.

Matangazo

  • Every last Saturday of the Month is a national Cleaning Day January 27, 2018
  • Selected Form One Student in Sumbawanga Municipal 2018 January 19, 2018
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • RC Wangabo awataka wanarukwa kuiga wananchi wa Sokolo kurasimisha makazi.

    March 20, 2018
  • RC Wangabo asisitiza ajira kwa Vijana na kinamama kwa miradi ya ULGSP.

    March 19, 2018
  • “Miundombinu ikiimarishwa hakika viwanja vya nambogo vitajiuza vyenyewe,” RC Wangabo.

    March 16, 2018
  • Wananchi Manispaa ya Sumbawanga waombwa kujitoa kuchangia masuala ya elimu

    March 15, 2018
  • Angalia zote

Video

Mji wa Kisasa Sumbawanga Kuvutia wawekezaji.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: 0624777666

    Barua pepe: md.sumbawanga@rukwa.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya wageni

free HitCOUNTER

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa