• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi & Mipango Miji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Taka Ngumu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uchumi
      • Utawala & Rasilimali Watu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Matumizi bora ya Ardhi
    • Miundombinu yetu
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
    • Rasilimali za mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Huduma ya Maji
    • Education
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • UKIMWI
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

Mifugo

SEKTA YA MIFUGO

Kwa mujibu wa sensa ya Mifugo ya mwaka 2016/2017, Manispaa  ina Jumla ya Ng’ombe 36,417, Mbuzi 19,270 Kondoo 1,085, Punda 1058 ,Nguruwe 13,010 ,Mbwa 8,699, Kuku 104,378 , Bata ni 7,938. Hali ya miundombinu katika mifugo ni kama inavyojionesha katika jedwali lifuatalo:-

Hali ya miundombinu ya Mifugo katika Halmashauri

NA

AINA YA MIUNDOMBINU

HITAJI

YALIYOPO

UPUNGUFU

1
Majosho

14

12

2

2
Mnada

1

1

0

3
Machinjio

1

2

1

4
Makaro ya kuchinjia

24

5

19

5
Mabanda ya ngozi makubwa

24

5

19

6
Vibanio vya kudumu

24

4

20

7
Marambo

0

0

0

8
Vituo vya maendeleo ya Mifugo

7

1

6

 

Huduma ya chanjo ya Mifugo

Ili kuhakikisha mifugo inakuwa na afya na Salama kwa walaji, Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga imeanza kutoa chanjo mbali mbali kwa mifugo kwa kipindi cha 2017/2018 kama inavyoonekana kwenye jedwali hapo chini. Mpaka sasa mbwa 2,131 wamechanjwa kati ya mbwa 8,699 sawa na asilimia 27.23 na huduma ya chanjo bado inaendelea.

Malengo ya kutoa chanjo ya mifugo Mwaka 2017/2018

NA

AINA MIFUGO

AINA YA CHANJO

LENGO

WALIOCHANJWA

1
Mbwa
Kichaa cha Mbwa
8,699
2,392
27.50%
2
Kuku wa asili
Mdondo
 (Newcastle disease)
84,180
17,916
21.28
3
Kuku
Mdondo
 (Newcastle disease)
20,198
28,040
50.12

 

Zoezi la Upigaji wa Chapa Ngombe katika Manispaa 

Zoezi la upigaji chapa ng’ombe katika Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga lilianza tarehe 10/8/2017, ambapo hadi sasa jumla ya ng’ombe 32,964 wamepigwa chapa dhidi ya ng’ombe 36,417 waliokisiwa sawa na asilimia 91% ya ng’ombe wote wa Manispaa ya Sumbawanga.

Matangazo

  • Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 December 18, 2020
  • Walichaguliwa Kidato cha Kwanza 2021 -PDF December 18, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 HALMASHAURI YA MANISPAA SUMBAWANGA. December 07, 2019
  • JOINING INSTRUCTION-LUKANGAO SECONDARY SCHOOL-MANISPAA YA SUMBAWANGA January 05, 2021
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • Mitihani Kidato cha Nne 2020

    November 23, 2020
  • MBUNGE

    March 03, 2020
  • DC

    February 13, 2020
  • WASIOPITIA JKT WATAKIWA JESHINI KATIKA UTUMISHI WAO

    September 16, 2019
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi aondoa sintofahamu kuhusu Sumbawanga mpya
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: 0784519681

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa