Mifugo
Kwa mujibu wa sensa ya Mifugo ya mwaka 2016/2017, Manispaa ina Jumla ya Ng’ombe 36,417, Mbuzi 19,270 Kondoo 1,085, Punda 1058 ,Nguruwe 13,010 ,Mbwa 8,699, Kuku 104,378 , Bata ni 7,938. Hali ya miundombinu katika mifugo ni kama inavyojionesha katika jedwali lifuatalo:-
Hali ya miundombinu ya Mifugo katika Halmashauri
NA |
AINA YA MIUNDOMBINU |
HITAJI |
YALIYOPO |
UPUNGUFU |
1
|
Majosho
|
14 |
12 |
2 |
2
|
Mnada
|
1 |
1 |
0 |
3
|
Machinjio
|
1 |
2 |
1 |
4
|
Makaro ya kuchinjia
|
24 |
5 |
19 |
5
|
Mabanda ya ngozi makubwa
|
24 |
5 |
19 |
6
|
Vibanio vya kudumu
|
24 |
4 |
20 |
7
|
Marambo
|
0 |
0 |
0 |
8
|
Vituo vya maendeleo ya Mifugo
|
7 |
1 |
6 |
Ngozi iliyokaushwa kwa chumvi katika machinjio ya Manispaa ya Sumbawanga
Ngozi zinazopatikana kwa wingi katika machinjio ya manispaa ya Sumbawanga
Sumbawanga Municipal Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga
Simu ya Mezani: +255252802163
Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255
Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz
HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa