1. Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga inatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mashine za Mpunga – Majengo Min Basi Stendi kwa kiwango cha lami km 2.36. Mradi huu unagharamiwa na fedha kutoka Benki ya Dunia chini ya Mradi wa uboreshaji Miji (ULGSP – Urban Local Government Suport Programme), ambao umefanyiwa usanifu na unasimamiwa na mhandisi mshauri aitwae MUST Consultancy Bureau.
2. Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga inatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mpanda – Kanisa la Romani Katoriki Katandala km 2.64 njia mbili kwa kiwango cha lami (Asphalt Concrete). Mradi huu unagharamiwa na fedha kutoka Benki ya Dunia chini ya Mradi wa uboreshaji Miji (ULGSP – Urban Local Government Suport Programme, ambao umefanyiwa usanifu na unasimamiwa na Mtaalam mshauri aitwae MUST Consultancy Bureau.
Sumbawanga Municipal Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga
Simu ya Mezani: +255252802163
Simu ya Kiganjani: +255 735519681/ +255
Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz
HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa