• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi & Mipango Miji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Taka Ngumu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uchumi
      • Utawala & Rasilimali Watu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Matumizi bora ya Ardhi
    • Miundombinu yetu
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
    • Rasilimali za mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Huduma ya Maji
    • Education
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • UKIMWI
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

TEHAMA

Majukumu ya Kitengo cha Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Uhusiano

  1. Kutayarisha mpango Mkakati wa kuhusu teknolojia ya habari na mawasiliano, Miongozo na taratibu kwa kuzingatia Sera ya Taifa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
  2. Kuishauri Menejimenti ya halmashauri ya masuala yanayohusiana na sera zinazohusiana na teknolojia ya habari na mawasiliano na utekelezaji wa dhana ya serikali mtandao.
  3. Kuishauri Menejimenti ya halmashauri juu ya masuala yanayohusiana na sera, miongozo na taratibu zinazohusiana na takwimu.
  4. Kusimamia maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano na utekelezaji wake kwa ajili ya halmashauri.
  5. Kutoa na kuratibu msaada wa teknolojia ya habari kwa menejimenti ya halmashauri.
  6. Kutathimini, kuboresha na kusimamia teknolojia ya habari na mawasiliano na usimamizi wa mifumo ya taarifa/habari iliyosimikwa/iliyowekwa kwenye halmashauri.
  7. Kufanya tathimini ya mahitaji ya mafunzo juu ya usimamizi wa mifumo ya taarifa na teknolojia ya habari na mawasiliano na kuandaa mpango wa kujenga uwezo
  8. Kufanya tathimini ya hatari/hasara zinazohusiana na miundombinu ya teknolojia ya habari na mawasiliano na mfumo wa usimamizi wa taarifa na namna ya kuthibiti.
  9. Kuandaa sera ya Tehama
  10. Kusimamia Tovuti ya Halmashauri
  11. Kusimamia mashine za kukusanyia mapato(POS)
  12. Kutengeneza barua pepe za watumishi.

Matangazo

  • Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 December 18, 2020
  • Walichaguliwa Kidato cha Kwanza 2021 -PDF December 18, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 HALMASHAURI YA MANISPAA SUMBAWANGA. December 07, 2019
  • JOINING INSTRUCTION-LUKANGAO SECONDARY SCHOOL-MANISPAA YA SUMBAWANGA January 05, 2021
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • Mitihani Kidato cha Nne 2020

    November 23, 2020
  • MBUNGE

    March 03, 2020
  • DC

    February 13, 2020
  • WASIOPITIA JKT WATAKIWA JESHINI KATIKA UTUMISHI WAO

    September 16, 2019
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi aondoa sintofahamu kuhusu Sumbawanga mpya
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: 0784519681

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa