Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya:
Majukumu ya |umla
Kushughulikia mambo yote yanayohusu afya ya jamii, elimu na huduma .za maji. Kamati hii pia itashughulikia mambo yanayohusiana na jitihada za wananchi vijijini kujitetea maendeleo yao kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushauri, kushawishi, kuzindua, kuelimisha na kushirikisha wananchi hao hasa katika kutayarisha, kutekeleza, kusimamia na kutathmini mipango yao ya maendeleo.
Majukumu maalum ya Kamati:
Sumbawanga Municipal Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga
Simu ya Mezani: +255252802163
Simu ya Kiganjani: 0784519681
Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz
HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa