• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL
SUMBAWANGA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Manispaa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi & Mipango Miji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Taka Ngumu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uchumi
      • Utawala & Rasilimali Watu
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Matumizi bora ya Ardhi
    • Miundombinu yetu
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
    • Rasilimali za mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Huduma ya Maji
    • Education
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati na majukumu yake
      • Fedha na Utawala
      • UKIMWI
      • Uchumi, Elimu & Afya
      • Mipango miji & Mazingira
    • Ratiba za Vikao
      • For Councilors
      • For Hon. Mayor
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
    • Huduma za Kisheria
    • Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Makala
    • Michezo & Burudani

Kilimo na Umwagiliaji

Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika inaundwa na sehemu 2

  • Kilimo
  • Umwagiliaji

 Majukumu ya idara

Jukumu kuu la Idara hii ni kuhamasisha, kuboresha na kusimamia utoaji wa huduma za maendeleo ya kilimo, Umwagiliaji na Ushirika katika jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.

  1. Usambazaji wa uuzaji wa pembejeo na zana za kilimo kutoka maduka ya watu binafsi.
  2. Usimamiaji wa matumizi ya pembejeo za kilimo katika Vijiji/Mitaa/Kata.
  3. Kutoa elimu/ushauri wa matumizi ya mbolea na madawa, kilimo mseto, usindikaji wa mazao, hifadhi ya udongo na matumizi bora ya ardhi, kilimo cha umwagiliaji na uzalishaji wa mazao mbalimbali ya nafaka, uyoga, mboga, matunda, miche ya matunda, miti ya kivuli na maua kwa kuzingatia kanuni bora kwa wakulima mmoja mmoja au vikundi.
  4. Kufanya tathmini kuhusu hali ya chakula na lishe katika Halmashauri yetu.
  5. Kusimamia, kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Miradi ya Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Projects – DADPs).
  6. Kufanya maandalizi na kushiriki maonesho ya sikukuu ya wakulima Nanenane.
  7. Kuboresha vyama vya ushirika vya aina mbalimbali.
  8. Kuimarisha ushirika wa akiba na mikopo.
  9. Kutoa mafunzo na elimu kuhusu vyama vya ushirika.
  10. Kupunguza na kuzuia milipuko ya magonjwa yanayosababishwa na ukosefu wa maji safi na salama
  11. Kusimamia vyema miradi

Matangazo

  • Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 December 18, 2020
  • Walichaguliwa Kidato cha Kwanza 2021 -PDF December 18, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 HALMASHAURI YA MANISPAA SUMBAWANGA. December 07, 2019
  • JOINING INSTRUCTION-LUKANGAO SECONDARY SCHOOL-MANISPAA YA SUMBAWANGA January 05, 2021
  • Angalia zote

Habari za Karibuni

  • Mitihani Kidato cha Nne 2020

    November 23, 2020
  • MBUNGE

    March 03, 2020
  • DC

    February 13, 2020
  • WASIOPITIA JKT WATAKIWA JESHINI KATIKA UTUMISHI WAO

    September 16, 2019
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi aondoa sintofahamu kuhusu Sumbawanga mpya
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • History
  • Councilors
  • Photo Gallery

Viunganishi vinavyofanana

  • Public Servant portal
  • Download your Salaryslip here
  • Looking for a job in Public Sector?
  • Get everything from the government
  • Rukwa
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Sumbawanga Municipal Council

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 187, Sumbawanga

    Simu ya Mezani: +255252802163

    Simu ya Kiganjani: 0784519681

    Barua pepe: md@sumbawangamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Uhuru binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

HakiMiliki ©2017 Sumbawangamc . Haki Zote Zimehifadhiwa